Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera

NEC yaweka wazi rufaa 55  

Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kati ya rufaa hizo, 15 wamerejeshwa kugombea ubunge. NEC imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa na imekataa rufaa 25 za kupinga kuteuliwa.

Jana Jumanne, tarehe 8 Septemba 2020, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera aliweka wazi rufaa hizo na kusema, zingine zitaendelea kutolewa kadri watakavyokuwa wanamaliza kuzichambua.

Fuatilia muhtasari wote wa rufaa hizo 55 hapa chini;

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kati ya rufaa hizo, 15 wamerejeshwa kugombea ubunge. NEC imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa na imekataa rufaa 25 za kupinga kuteuliwa. Jana Jumanne, tarehe 8 Septemba 2020, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera aliweka wazi rufaa hizo na kusema, zingine zitaendelea kutolewa kadri watakavyokuwa wanamaliza kuzichambua. https://www.youtube.com/watch?v=LVSsTIegwkg Fuatilia muhtasari wote wa rufaa hizo 55 hapa chini;

Review Overview

User Rating: 2.1 ( 1 votes)

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!