Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC

NEC yatangaza wabunge wateule 18 wa CCM

Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)

Taarifa ya Mkurugenzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera ambayo ameitoa leo usiku Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 imesema, wateule hao wamepatikana baada ya wagombea wenzao kujikuta wanapoteza sifa na kubaki peke yao.

Majimbo hayo 18 ni kati ya 264 ambayo yanafanya Uchaguzi Mkuu Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020 na tayari kampeni za uchaguzi huo zimekwisha kuanza.

Taarifa ya Dk. Mahera na wabunge hao wateule akiwemo Waziri Mkuu wa nchini hiyo, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai hii hapa chini;

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ... (endelea) Taarifa ya Mkurugenzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera ambayo ameitoa leo usiku Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 imesema, wateule hao wamepatikana baada ya wagombea wenzao kujikuta wanapoteza sifa na kubaki peke yao. Majimbo hayo 18 ni kati ya 264 ambayo yanafanya Uchaguzi Mkuu Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020 na tayari kampeni za uchaguzi huo zimekwisha kuanza. Taarifa ya Dk. Mahera na wabunge hao wateule akiwemo Waziri Mkuu wa nchini hiyo, Kassim Majaliwa…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Maalum

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!