Mwenyekiti wa NEC, Semistocles Kaijage

NEC yaonya watakaotangaza matokeo

Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeonya, wagombea, kikundi, chama cha siasa au wafuasi wao wanaopanga kuchukua sheria mkononi ya kutangaza matokeo nje ya utaratibu na mamlaka zilizowekwa Kikatiba na kisheria kutofanya hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 20 Oktoba 2020 na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage imezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mawakala watakaosimamia uchaguzi huo.

Taarifa yote ya Jaji Kaijage hii hapa;

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeonya, wagombea, kikundi, chama cha siasa au wafuasi wao wanaopanga kuchukua sheria mkononi ya kutangaza matokeo nje ya utaratibu na mamlaka zilizowekwa Kikatiba na kisheria kutofanya hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 20 Oktoba 2020 na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage imezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mawakala watakaosimamia uchaguzi huo. Taarifa yote ya Jaji Kaijage hii hapa;

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!