Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene
Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene

Mwambene ang’olewa Maelezo

ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo amemteua Zamaradi Kawawa kukaimu nafasi hiyo mpaka utapofanyika uteuzi mpya.
ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo amemteua Zamaradi Kawawa kukaimu nafasi hiyo mpaka utapofanyika uteuzi mpya.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube