Mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi
Mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi

Mtuhumiwa Escrow akimbizwa Muhimbili

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

HATIMAYE  mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  (MNH).  Anaandika Faki Sosi.

Ruhusa ya mtuhumiwa huyo kupelekwa Muhimbili umetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Awali Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ilizuia mtuhumiwa huyo kwenda kutibiwa Muhimbili.

Hakimu Huruma Shahidi alipokea maelezo ya  Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Takukuru, Leonard Swai kwamba tayari Takukuru amepelekwa Muhimbili na kwamba kinachosubiriwa ni ripoti ya daktari.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
HATIMAYE  mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  (MNH).  Anaandika Faki Sosi. Ruhusa ya mtuhumiwa huyo kupelekwa Muhimbili umetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Awali Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ilizuia mtuhumiwa huyo kwenda kutibiwa Muhimbili. Hakimu Huruma Shahidi alipokea maelezo ya  Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Takukuru, Leonard Swai kwamba tayari Takukuru amepelekwa Muhimbili na kwamba kinachosubiriwa ni ripoti ya daktari.

Review Overview

User Rating: 3.5 ( 1 votes)
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube