January 15, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mtoto wa Mwl. Nyerere afariki dunia

Marehemu Rosemary Nyerere enzi za uhai wake

Spread the love

ROSEMARY Julius Nyerere, mtoto wa saba wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais wa Kwanza Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Taarifa kutoka kwa wanafamilia hiyo imeeleza, Rosemary alifariki dunia jana jioni tarehe 1 Januari 2021, jijini Dar es Salaam.

“Taarifa za msiba huo ni kweli lakini kuna mwanafamilia mmoja atakuja na taarifa rasmi ya familia, mimi nathibitisha tu kwamba Rosemary amefariki jana,” amesema mmoja wa wanafamilia hao.

error: Content is protected !!