Mlipuko watokea uwanja wa ndege Brussels

Spread the love

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea milipuko miwili kwenye Uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels, nchini Ubelgiji.

Bado haijafahamika chanzo cha milipuko hiyo, lakini moshi mkubwa umetanda katika maeneo ya kukaguliwa abiria waoandoka.

Watu wameanza kuondolewa katika uwanja huo, kwa kunusuru usalama wao.

Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kwamba watu 11 wanahofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika ukumbi wa kuhudumia watu wa safari za kuondoka nchini na kwamba milipuko ilitokea karibu na meza ya shirika la ndege la American Airlines.

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea milipuko miwili kwenye Uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels, nchini Ubelgiji. Bado haijafahamika chanzo cha milipuko hiyo, lakini moshi mkubwa umetanda katika maeneo ya kukaguliwa abiria waoandoka. Watu wameanza kuondolewa katika uwanja huo, kwa kunusuru usalama wao. Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kwamba watu 11 wanahofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika ukumbi wa kuhudumia watu wa safari za kuondoka nchini na kwamba milipuko ilitokea karibu na meza ya shirika la ndege la American Airlines. https://twitter.com/David_Cameron/status/712202924932390913 https://twitter.com/Number10gov/status/712197487952400384 https://twitter.com/nick_clegg/status/712206718911062016

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Masalu Erasto

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!