July 26, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mke wa Rais Nkurunzinza augua corona, alazwa Kenya

Spread the love

DENISE, mke wa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza amebainikuwa kuwa na ugonjwa unaosababishaa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). 

Mke huyo wa Rais Nkurunzinza amelazwa katika Hospitali ya Aga Khani, Nairobi nchini Kenya.

Vyanzo vya habari vinasema, Denise alisafiri kwa ndege maalum jana Ijumaa tarehe 28 Mei 2020 kutoka Burundi kwenda Kenya kwa matibabu.

error: Content is protected !!