Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Meneja wa Diamond ambwaga naibu waziri
Habari za Siasa

Meneja wa Diamond ambwaga naibu waziri

Spread the love

HAMISI Taletale maarufu Babu Tale ameshinda kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318 dhidi ya mbunge anayemaliza muda wake ambaye ni Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba aliyepata kura 242. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea).

Babu Tale ni Maneja wa Msanii wa mziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinum.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

Spread the love  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

Spread the loveSERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi...

error: Content is protected !!