Katuni iliyochorwa na mchora katuni maarufu nchini Kenya, Gado juu ya ziara ya Magufuli nchini mwao

Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John Magufuli nchini Kenya ameiweka katika ukurasa wake wa Twitter.

Je, unaitafsiri vipi? Tupe maoni yako hapo chini kwa jinsi ulivyoielewa katuni hii  

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John Magufuli nchini Kenya ameiweka katika ukurasa wake wa Twitter. https://twitter.com/iGaddo/status/792983448944271360 Je, unaitafsiri vipi? Tupe maoni yako hapo chini kwa jinsi ulivyoielewa katuni hii  

Review Overview

User Rating: 3.6 ( 1 votes)

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram