Marehemu Richard Ndassa

Mbunge Richard Ndassa afariki dunia

Spread the love

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Ndassa alizaliwa tarehe 21 Machi 1959, aliongoza jimbo la Sumve mkoani Mwanza tangu mwaka 2010.

Taarifa zaidi zitakujia….

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ... (endelea). Ndassa alizaliwa tarehe 21 Machi 1959, aliongoza jimbo la Sumve mkoani Mwanza tangu mwaka 2010. Taarifa zaidi zitakujia….

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!