Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

Mbowe aruhusiwa hospitali

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Mbowe alilazwa hospitalini hapo jana akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa. 

Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Mbowe alilazwa hospitalini hapo jana akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa.  Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.

Review Overview

User Rating: 2.43 ( 2 votes)

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube