Lila Mandu, Afisa Habari na Mawasiliano wa DUCE
Lila Mandu, Afisa Habari na Mawasiliano wa DUCE

Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), litakalofanyika Aprili 27 na 28 mwaka huu, anaandika Hamisi Mguta.

Lila Mandu, Afisa Habari wa Elimu na Mawasiliano wa DUCE,  amewaambia waandishi wa kuwa lengo la kongamano hilo ni kujadili mambo mbalimbali yanayohusu usawa wa jinsia.

https://youtu.be/-Yr3KrDxDMY

Mandu amesema kongamano hilo litafanyika katika viwanja vya shule ya msingi DUCE iliyopo wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), litakalofanyika Aprili 27 na 28 mwaka huu, anaandika Hamisi Mguta. Lila Mandu, Afisa Habari wa Elimu na Mawasiliano wa DUCE,  amewaambia waandishi wa kuwa lengo la kongamano hilo ni kujadili mambo mbalimbali yanayohusu usawa wa jinsia. https://youtu.be/-Yr3KrDxDMY Mandu amesema kongamano hilo litafanyika katika viwanja vya shule ya msingi DUCE iliyopo wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube