July 26, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mahakamani yamtia hatiani Lulu

Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa mahakamani

Spread the love

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imetia hatiani Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika kesi ya kuua bila kukusidia dhidi ya msanii mwenzake, Steven Kanumba, anaandika Faki Sosi.

Hukumu iliyosomwa na Jaji Sam Rumanyika imemtia hatiani Lulu kuwa alimuua msani mwenzake, Marehemu Kanumba bila kukusudfia kutokana na ushahidi uliotolewa na pande hizo mbili.

Upande wa utetezi unaiomba mahakama kumpunguzia adhabu mteja wao, endelea kubaki na MwanaHALISI Online kukujuza zaidi.

error: Content is protected !!