Maangamizi yakumba Boko Haramu

JESHI la Nigeria limeeleza kufanya mashambulizi makali na kuharibu vibaya kambi za wapiganaji wa Kundi la Boko Haram katika Vijiji vya Doro na Kuda vilivyopo Kaskazini Mashariki mwa Jimbo la Borno.

Kanali Sani Usman, Msemaji wa Jeshi hilo amesema, wapiganaji wanne wa kundi hilo waliuawa huku wengine wawili wakikamatwa wakati wa oparesheni katika Misitu ya Alagarno na Sambisa na kwmaba, wanajeshi watatu na raia wanne walijeruhiwa katika mapigano hayo.

Kundi la Boko haram limepoteza eneo kubwa lililokuwa likidhibiti, lakini bado linatekeleza milipuko mibaya ya kujitolea muhanga.

JESHI la Nigeria limeeleza kufanya mashambulizi makali na kuharibu vibaya kambi za wapiganaji wa Kundi la Boko Haram katika Vijiji vya Doro na Kuda vilivyopo Kaskazini Mashariki mwa Jimbo la Borno. Kanali Sani Usman, Msemaji wa Jeshi hilo amesema, wapiganaji wanne wa kundi hilo waliuawa huku wengine wawili wakikamatwa wakati wa oparesheni katika Misitu ya Alagarno na Sambisa na kwmaba, wanajeshi watatu na raia wanne walijeruhiwa katika mapigano hayo. Kundi la Boko haram limepoteza eneo kubwa lililokuwa likidhibiti, lakini bado linatekeleza milipuko mibaya ya kujitolea muhanga.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Masalu Erasto

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube