Maalim Seif ahamia rasmi ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

“Hatua tunayochukua leo ya kuhamia ACT-Wazalendo ni ya kihistoria. Umma haujawahi kushindwa dunaiani kote. Na umma wa Watanzania hautashindwa. ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee,” Maalim Seif.

Habari zaidi zitakujia..

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). “Hatua tunayochukua leo ya kuhamia ACT-Wazalendo ni ya kihistoria. Umma haujawahi kushindwa dunaiani kote. Na umma wa Watanzania hautashindwa. ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee,” Maalim Seif. Habari zaidi zitakujia..

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Regina Mkonde

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram