Rais John Magufuli

Ma-DAS 5 wateuliwa, yupo mtangazaji wa Clouds

Spread the love

WAZIRI wa Nchi, Ofisa ya Rais, Mwnejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala watano wa wilaya (DAS) nchini Tanzania.

Miongoni mwa Ma- DAS hao yumo, Hassan Ngoma, Mtangazaji wa Kituo cha Redio na Televisheni cha Clouds jijini Dar es Salaam anayekwenda Wilaya ya Singida.

Taarifa ya uteuzi hii hapa chini;

WAZIRI wa Nchi, Ofisa ya Rais, Mwnejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala watano wa wilaya (DAS) nchini Tanzania. Miongoni mwa Ma- DAS hao yumo, Hassan Ngoma, Mtangazaji wa Kituo cha Redio na Televisheni cha Clouds jijini Dar es Salaam anayekwenda Wilaya ya Singida. Taarifa ya uteuzi hii hapa chini;

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!