Lissu afanyiwa operesheni ya mwisho, yamalizika salama

Spread the love

TUNDU Lissu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) amefanyiwa operesheni ya mwisho na imemalizika salama. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Lissu ambaye alifanyiwa operesheni jana, Juni 4, 2018 ya kuunga mguu wa kulia.

Katika Operesheni hiyo iliyofanyika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji, Lissu aliizungumzia akisema itakuchukua takriabani saa 8 hivyo kuwaomba Watanzania kumwombea.

Saa 3 usiku jana Juni 4,2018, Mke wake, Alicia amesema: “Namshukuru Mungu kwani operation ya 20 iliyokuwa ya masaa 8 imekwenda vizuri na amezinduka. As always he is stable. Asanteni sana.”

TUNDU Lissu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) amefanyiwa operesheni ya mwisho na imemalizika salama. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Lissu ambaye alifanyiwa operesheni jana, Juni 4, 2018 ya kuunga mguu wa kulia. Katika Operesheni hiyo iliyofanyika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji, Lissu aliizungumzia akisema itakuchukua takriabani saa 8 hivyo kuwaomba Watanzania kumwombea. Saa 3 usiku jana Juni 4,2018, Mke wake, Alicia amesema: "Namshukuru Mungu kwani operation ya 20 iliyokuwa ya masaa 8 imekwenda vizuri na amezinduka. As always he is stable. Asanteni sana."

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!