Lema mikononi mwa polisi Arusha

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman … (endelea).

Mpaka sasa wito wa Lema kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Arusha haujafahamika lengo lake.

Mbunge huyo ameandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kwamba, anaelekea Arusha kutekeleza wito huo.

“Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa, sijaelewa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana, lakini nafikiria kupigania haki hili ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. Msiogope.”

Mpaka sasa hakujawa na taarifa mpya kutokana na wito huo.

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman ... (endelea). Mpaka sasa wito wa Lema kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Arusha haujafahamika lengo lake. Mbunge huyo ameandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kwamba, anaelekea Arusha kutekeleza wito huo. "Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa, sijaelewa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana, lakini nafikiria kupigania haki hili ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. Msiogope." https://twitter.com/godbless_lema/status/1054020919847477248?s=19 Mpaka sasa hakujawa na taarifa mpya kutokana na wito huo.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube