Lema aachiwa Kenya

Spread the love

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Lema ameachiwa leo Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020 baada ya kushikiliwa jana akituhumiwa kuingia nchini humo kinyume cha taratibu.

Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini Nairobi.

            Soma zaidi:-

Baada ya kuachiwa, Lema anaendelea na taratibu za kutafuta hifadhi ya kisiasa ubalozi huo wa Marekani.

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema ameachiwa leo Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020 baada ya kushikiliwa jana akituhumiwa kuingia nchini humo kinyume cha taratibu. Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini Nairobi.             Soma zaidi:- Lema njia panda ukimbini Kenya Lema akimbilia ubalozi wa Marekani kuomba hifadhi Baada ya kuachiwa, Lema anaendelea na taratibu za kutafuta hifadhi ya kisiasa ubalozi huo wa Marekani.

Review Overview

User Rating: 4.2 ( 1 votes)

About Mwandishi Wetu

One comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!