Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

Kubenea: Michango ya MV Nyerere iwafikie waathirika

Spread the love

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum na MwanaHALISI TV baada ya Serikali kupitia kwa Waziri Jenister Mhagama kutangaza kuwa imefungua akaunti benki kwa ajili ya kupokea michango toka kwa wasamaria wema.

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin ... (endelea). Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum na MwanaHALISI TV baada ya Serikali kupitia kwa Waziri Jenister Mhagama kutangaza kuwa imefungua akaunti benki kwa ajili ya kupokea michango toka kwa wasamaria wema. https://youtu.be/i6bZqPySRvo

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Regina Mkonde

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!