Kiwanda cha Bora chateketea kwa Moto

KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Taarifa za awali zinaeleza kuwa, kiwanda hicho kinachotengeneza viatu kimeanza kuungua tangu majira ya saa 10 alfajiri ya leo tarehe 28 Februari 2019.

Kikosi cha zimamoto kiko eneo la tukio kinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.

KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za awali zinaeleza kuwa, kiwanda hicho kinachotengeneza viatu kimeanza kuungua tangu majira ya saa 10 alfajiri ya leo tarehe 28 Februari 2019. Kikosi cha zimamoto kiko eneo la tukio kinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo. Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram