Joseph Mapunda, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Maudhui TCRA

A-Z uamuzi wa TCRA kwa vyombo vya habari

Spread the love

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa uamuzi katika malalamiko tisa ya watoa huduma ya utangazaji kwa makosa mbalimbali ya ukiukaji wa kanini za utangazaji wa redio na televisheni na maudhui ya mitandaoni. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es Salaam … (endelea)

Watoa huduma hao ni Carry Mastory Media Ltd, Triple A FM, CG FM, Wasafi Media Online TV, Clouds FM, Radio One, Radio Free Africa, Kiss FM na Abood FM.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mapunda ametoa uamuzi huo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020 katika Ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam.

Soma taarifa yote ya kamati;

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa uamuzi katika malalamiko tisa ya watoa huduma ya utangazaji kwa makosa mbalimbali ya ukiukaji wa kanini za utangazaji wa redio na televisheni na maudhui ya mitandaoni. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es Salaam … (endelea) Watoa huduma hao ni Carry Mastory Media Ltd, Triple A FM, CG FM, Wasafi Media Online TV, Clouds FM, Radio One, Radio Free Africa, Kiss FM na Abood FM. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mapunda ametoa uamuzi huo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020 katika Ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam. https://youtu.be/fLhD__xfOXo Soma taarifa…

Review Overview

User Rating: 3.43 ( 2 votes)

About Hamisi Mguta

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!