Kizza Besigye

Kiongozi wa Upinzani Uganda akamatwa tena na Polisi

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Besigye amekamatwa leo tarehe 23 Agosti, 2018, ambapo baada ya kukamatwa amepelekwa katika kituo cha polisi cha Naggalama.

Hadi sasa haijafahamika kosa lililopelekea kiongozi huyo wa upinzani kukamatwa na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi kabla ya kumtia nguvuni Besigye, lilizingira nyumba yake.

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Besigye amekamatwa leo tarehe 23 Agosti, 2018, ambapo baada ya kukamatwa amepelekwa katika kituo cha polisi cha Naggalama. Hadi sasa haijafahamika kosa lililopelekea kiongozi huyo wa upinzani kukamatwa na Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi kabla ya kumtia nguvuni Besigye, lilizingira nyumba yake.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Regina Mkonde

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram