Kiongozi wa Bavicha anusurika kifo katika ajali – MwanaHALISI Online
Gari la Edward Simbeye baada ya kupata ajali
Gari la Edward Simbeye baada ya kupata ajali

Kiongozi wa Bavicha anusurika kifo katika ajali

EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta.

Ajali hiyo imetokea wakati Simbeye akiwa safarini akitokea Dar es Salaam kwenda Moshi, Kilimanjaro.

Simbeye amesema sababu ya ajali ni kufyatuka tairi la mbele kushoto kusababisha gari kupoteza mwelekeo na kuanguka kando mwa barabara eneo la Kawawa mjini Moshi.

“Tunamshukuru Mungu tumemetoka salama, mimi pamoja na mdogo wangu. Tulikuwa tunaenda nyumbani kwa sababu za kifamilia,” amesema Simbeye.

EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta. Ajali hiyo imetokea wakati Simbeye akiwa safarini akitokea Dar es Salaam kwenda Moshi, Kilimanjaro. Simbeye amesema sababu ya ajali ni kufyatuka tairi la mbele kushoto kusababisha gari kupoteza mwelekeo na kuanguka kando mwa barabara eneo la Kawawa mjini Moshi. “Tunamshukuru Mungu tumemetoka salama, mimi pamoja na mdogo wangu. Tulikuwa tunaenda nyumbani kwa sababu za kifamilia,” amesema Simbeye.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube