Kesi ya Lema yafutwa, akamatwa tena – MwanaHALISI Online
Godbless Lema, Chris Lukosi
Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini

Kesi ya Lema yafutwa, akamatwa tena

JESHI la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kile kinachodaiwa “uchochezi” dhidi ya Rais kuhusiana na ndoto aliyowahi kuota. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Lema kutokana na ndoto alizoota miaka miwili iliyopita, ilifutwa lakini muda mchache baadaye polisi walimkamata tena na kumfungulia kesi upya kwa mashtaka yale yale.

Kesi hii ni mwendelezo wa kesi iliyokua ikimkabili Lema na ambayo ilimsotesha mahabusu (Magereza) kwa zaidi ya miezi mnne mwaka juzi kabla ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwaka jana.

JESHI la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kile kinachodaiwa "uchochezi" dhidi ya Rais kuhusiana na ndoto aliyowahi kuota. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Lema kutokana na ndoto alizoota miaka miwili iliyopita, ilifutwa lakini muda mchache baadaye polisi walimkamata tena na kumfungulia kesi upya kwa mashtaka yale yale. Kesi hii ni mwendelezo wa kesi iliyokua ikimkabili Lema na ambayo ilimsotesha mahabusu (Magereza) kwa zaidi ya miezi mnne mwaka juzi kabla ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwaka jana.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube