Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera

Karatasi za kupigia kura hizi hapa

Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Pia, imetoa Jalada la nukta nundu litakalotumiwa na watu wasioona kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Pia, imetoa Jalada la nukta nundu litakalotumiwa na watu wasioona kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!