Kamusoko mchezaji bora wa Desemba

KIUNGO wa wa Yanga, Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Desemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga, Amissi Tambwe.

Kamusoko ameisaidia timu yake ya Yanga katika michezo iliyochezwa mwezi Desemba kwa kushiriki dakika zote katika michezo mitatu iliyochezwa mwezi wa Desemba.

Kwa kuchaguliwa kwake kuwa mchezaji bora wa wa mwezi Disemba, Kamusoko atakabidhiwa zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja (1,000,000) kutoka kwa wadhamini wa ligi Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.

KIUNGO wa wa Yanga, Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Desemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga, Amissi Tambwe. Kamusoko ameisaidia timu yake ya Yanga katika michezo iliyochezwa mwezi Desemba kwa kushiriki dakika zote katika michezo mitatu iliyochezwa mwezi wa Desemba. Kwa kuchaguliwa kwake kuwa mchezaji bora wa wa mwezi Disemba, Kamusoko atakabidhiwa zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja (1,000,000) kutoka kwa wadhamini wa ligi Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Masalu Erasto

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram