20170906_101104

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki


WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi.

Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka Tanga walikuwa wakisafiri kutoka Dodoma kurudi Tanga ambapo walikumbwa ajali hiyo iliyojeruhi sita.

Ajari hiyo imetokea Mwidu karibu na Ubena mkoani Morogoro.

MwanaHALISI Online itakuletea taarifa kamili muda mfupi ujao.

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi. Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka Tanga walikuwa wakisafiri kutoka Dodoma kurudi Tanga ambapo walikumbwa ajali hiyo iliyojeruhi sita. Ajari hiyo imetokea Mwidu karibu na Ubena mkoani Morogoro. MwanaHALISI Online itakuletea taarifa kamili muda mfupi ujao.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube