JPM: Hakuna vya bure

Spread the love

RAIS John Magufuli amesema, hakuna vya bure, na kwamba ili upate fedha, lazima ufanye kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Kiongozi huyo wa nchini, ametoa kauli hiyo leo tarehe 27 Novemba 2019 akiwa ziarani katika Wilaya ya Igunga, Tabora.

“Hakuna vya bure” amesema Rais Mgufuli na kuongeza “vya bure vimekwisha.” Ametoa kauli hiyo huku akisema, wapo watu wanaolima pamba na mpunga na kupata fedha hivyo “kwa nini nawe usilime viazi ukapata pesa?” amehoji

Akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo, amesisitiza kwamba serikali inafanya kazi ya kukusanya fedha kwa ajili ya maendeleo ya nchi ikwemo kujenga madaraka, vituo vya afya na sio kulisha wananchi.

RAIS John Magufuli amesema, hakuna vya bure, na kwamba ili upate fedha, lazima ufanye kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kiongozi huyo wa nchini, ametoa kauli hiyo leo tarehe 27 Novemba 2019 akiwa ziarani katika Wilaya ya Igunga, Tabora. “Hakuna vya bure” amesema Rais Mgufuli na kuongeza “vya bure vimekwisha.” Ametoa kauli hiyo huku akisema, wapo watu wanaolima pamba na mpunga na kupata fedha hivyo “kwa nini nawe usilime viazi ukapata pesa?” amehoji Akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo, amesisitiza kwamba serikali inafanya kazi ya kukusanya fedha kwa ajili ya maendeleo ya nchi ikwemo kujenga madaraka, vituo vya afya na sio…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!