JPM ateua Mwenyekiti Bodi ya Tume ya Ushindani – MwanaHALISI Online
Rais John Magufuli
Rais John Magufuli

JPM ateua Mwenyekiti Bodi ya Tume ya Ushindani

RAIS John Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (FCC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo tarehe 30 Oktoba 2018.

Sehemu ya taairifa hiyo inaeleza kuwa, uteuzi wa Prof. Moshi unaanza leo. Prof. Moshi alikuwa Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

RAIS John Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (FCC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo tarehe 30 Oktoba 2018. Sehemu ya taairifa hiyo inaeleza kuwa, uteuzi wa Prof. Moshi unaanza leo. Prof. Moshi alikuwa Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Regina Mkonde

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube