Rais John Magufuli

JPM ateua bosi taasisi ya utafiti madini

RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi … (endelea)

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza tarehe 15 Novemba 2019.

“Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza leo (jana) tarehe 15 Novemba 2019,” inaeleza taarifa ya Msigwa aliyoitoa jana.

Kabla ya uteuzi huo, Dk. Budeba alikuwa Mhadhiri wa Idara ya Uhandisi wa Kemikali na Madini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi ... (endelea) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza tarehe 15 Novemba 2019. "Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza leo (jana) tarehe 15 Novemba 2019," inaeleza taarifa ya Msigwa aliyoitoa jana. Kabla ya uteuzi huo, Dk. Budeba alikuwa Mhadhiri wa Idara ya Uhandisi wa Kemikali na Madini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Faki Sosi

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram