Jaji Wambali ateuliwa kuwa Jaji Kiongozi

 

RAIS John Magufuli  leo amemteua Jaji Ferdinand Wambali  kuwa Jaji Kiongozi, anaandika Pendo Omary.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mchana huu  na Gerson Msigwa, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu imeeleza “Jaji Wambali anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Shaaban Ally Lila aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa.”

Kabla ya uteuzi huo, Jaji Wambali alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, mkoani Tanga.

  RAIS John Magufuli  leo amemteua Jaji Ferdinand Wambali  kuwa Jaji Kiongozi, anaandika Pendo Omary. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mchana huu  na Gerson Msigwa, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu imeeleza “Jaji Wambali anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Shaaban Ally Lila aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa.” Kabla ya uteuzi huo, Jaji Wambali alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, mkoani Tanga.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Pendo Omary

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube