Josephat-isango[1]

Isango azikwa kijijini kwao Kisasida

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta.

Isango alifariki Aprili 14 siku ya Ijumaa Kuu katika hospitali ya Ikungi mkoani humo alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akisumbuliwa na tatizo la kupanuka kwa moyo.

Mwandishi huyo aliyekuwa mashuhuri katika kupigania haki za wanyonge amezikwa mita chache kutoka nyumbani kwao.

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta. Isango alifariki Aprili 14 siku ya Ijumaa Kuu katika hospitali ya Ikungi mkoani humo alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akisumbuliwa na tatizo la kupanuka kwa moyo. Mwandishi huyo aliyekuwa mashuhuri katika kupigania haki za wanyonge amezikwa mita chache kutoka nyumbani kwao.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube