Hollande amtaka mshambuliaji Paris

FRANCOIS Hollande, Rais wa Ufaransa amesema, anamtaka mshambuliaji anayetajwa kuhusuka kwenye shambulio la ugaidi lililotokea Paris, Ufaransa mwaka jana.

Shirika la Habari la Ujerumani (DW) limeeleza kuwa, mshambuliaji huo Salah Abdesalam amekamatwa jana katika msako mkali uliofanyika Brussels, Ubelgiji ambapo polisi nchini humo wamethibitisha kumpiga risasi na kumjeruhi.

Shambulizi linalotajwa kuwezeshwa na Abdesalam lilisababisha vifo vya watu130 mwezi Novemba mwaka jana ambapo mshamhambuliaji huyo amekaa mafichoni kwa miezi minne.

Abdesalam mwenye umri wa miaka 26 anashukiwa kujiunga na kaka yake kulipua mikahawa na baa mjini Paris ambapo inaaminika alitoa msaada wa kifuundi kwa washambuliaji.

Hollande amesema, serikali yake inaanzisha mchakato wa kuhamishiwa nchini mwako mshukiwa huyo wa ugaidi ili kumfanyia uchunguzi na kasha kumshtakiwa.

FRANCOIS Hollande, Rais wa Ufaransa amesema, anamtaka mshambuliaji anayetajwa kuhusuka kwenye shambulio la ugaidi lililotokea Paris, Ufaransa mwaka jana. Shirika la Habari la Ujerumani (DW) limeeleza kuwa, mshambuliaji huo Salah Abdesalam amekamatwa jana katika msako mkali uliofanyika Brussels, Ubelgiji ambapo polisi nchini humo wamethibitisha kumpiga risasi na kumjeruhi. Shambulizi linalotajwa kuwezeshwa na Abdesalam lilisababisha vifo vya watu130 mwezi Novemba mwaka jana ambapo mshamhambuliaji huyo amekaa mafichoni kwa miezi minne. Abdesalam mwenye umri wa miaka 26 anashukiwa kujiunga na kaka yake kulipua mikahawa na baa mjini Paris ambapo inaaminika alitoa msaada wa kifuundi kwa washambuliaji. Hollande amesema, serikali yake inaanzisha mchakato…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Masalu Erasto

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram