Ilkay Gundogan

Gundogan akutwa na Corona

Spread the love

KLABU ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imethibitisha kuwa kiungo wake Ilkay Gundogan amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kuchukuliwa vipimo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)

Taarifa hiyo kutoka ndani ya klabu hiyo yenye makao yake jijini Manchester, England imeeleza kuwa mchezaji huyo atajitenga na wanzake kwa siku 10, kama ilivyokuwa taratibu za serikali nchini humo.

Toka msimu mpya wa Ligi 2020/21 klabu ziliwekewa utaratibu wa kupima virus wachezaji pamoja na wafanyakazi huku katazo la mashabiki kuingia uwanjani likiendelea kuwepo.

KLABU ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imethibitisha kuwa kiungo wake Ilkay Gundogan amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kuchukuliwa vipimo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Taarifa hiyo kutoka ndani ya klabu hiyo yenye makao yake jijini Manchester, England imeeleza kuwa mchezaji huyo atajitenga na wanzake kwa siku 10, kama ilivyokuwa taratibu za serikali nchini humo. Toka msimu mpya wa Ligi 2020/21 klabu ziliwekewa utaratibu wa kupima virus wachezaji pamoja na wafanyakazi huku katazo la mashabiki kuingia uwanjani likiendelea kuwepo.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

One comment

  1. Восемьдесят процентов успеха – это показаться в необходимом месте в правильное время. Как прекрасно, собственно что я с друзьми наткнулись на Вашу заметку!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!