Thursday , 28 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Gambo apanga kummaliza Lema
Habari za Siasa

Gambo apanga kummaliza Lema

Mrisho Gambo
Spread the love

MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo hilo anayetetea nafasi yake kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea).

Amesema, tayari zimebaki kata tatu ili akamilishe kata zote za jimbo hilo alizofanya mikutano ya hadhara na kisha atabadili mtindo na kwenda nyumba kwa nyumba kusaka kura.

“Tumefanya mikutano zaidi ya kata 20, hizi tatu zilizobaki tukimaliza tunaanza kampeni za nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango na ikibidi kitanda kwa kitanda,” amesema Gambo wakati wa ufunguzi wa kampeni za Kata ya Sekei, jijini humo.

Amewataka wakazi wa kata hiyo kutofanya makosa na kwamba, wachagua wagombea wanaotokana na chama hicho katika ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Godbless Lema, mgombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini

Awali, baada ya kupitishwa na chama chake kugombea ubunge  kwenye jimbo hilo, Lema alisema kama sheria ingeruhusu, alitamaba kushindana na CCM wote kwenye jimbo hilo na angewashinda kwa kupata kura nyingi.

Yupo tayari kualiwaomba wakazi wa kata hiyo kukipigia kura CCM kwa mtindo wa mafiga matatu yaani diwani, mbunge na rais ili iwe rahisi kupenyeza hoja za  vipaumbele vya jimbo lake.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifa

Mwanaye rais jela miaka miaka 6 kwa dawa za kulevya

Spread the loveMwanawe rais wa zamani wa Guinea-Bissau amehukumiwa kifungo cha miaka...

Habari za SiasaTangulizi

Mapya yaibuka wamasai waliohamishwa Ngorongoro kwenda Msomera

Spread the loveMAPYA yameibuka kuhusu zoezi la Serikali kuwahamisha kwa hiari wamasai...

Habari za Siasa

Rais Samia ampongeza mpinzani aliyeshinda urais Senegal

Spread the loveRAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza mwanasiasa wa...

Habari za Siasa

Ushindi wa mpinzani Senegal wakoleza moto kwa wapinzani Tanzania

Spread the loveUSHINDI wa aliyekuwa mgombea  urais wa upinzani nchini Senegal, Bassirou...

error: Content is protected !!