Mrisho Gambo

Gambo amshinda Lema Arusha Mjini

Spread the love

GODBLESS Lema wa Chadema, ametangazwa kushindwa ubunge wa Arusha Mjini kwa kupata kura 46,489. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Lema ameshindwa na Mrisho Gambo wa CCM aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 82,480.

Lema alikuwa akiongoza jimbo hilo tangu mwaka 2010.

Godbless Lema, Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema)

GODBLESS Lema wa Chadema, ametangazwa kushindwa ubunge wa Arusha Mjini kwa kupata kura 46,489. Anaripoti Mwandishi Wetu...(endelea) Lema ameshindwa na Mrisho Gambo wa CCM aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 82,480. Lema alikuwa akiongoza jimbo hilo tangu mwaka 2010.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!