Mohamed Dewji 'MO Dewji'

Familia ya Dewji kuvunja ukimya kutekwa kwa MO

FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea huyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Mkutano huo na waandishi wa habari utafanyika leo tarehe 15 Oktoba, 2018, saa 6.30 mchana katika ofisi za MeTL zilizopo jengo la Golden Jubilee, Posta jijini Dar es Salaam.

Baba wa ‘Mo’ Gullam Dewji amethibitisha uwepo wa mkutano huo na waandishi wa habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi.

FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea huyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkutano huo na waandishi wa habari utafanyika leo tarehe 15 Oktoba, 2018, saa 6.30 mchana katika ofisi za MeTL zilizopo jengo la Golden Jubilee, Posta jijini Dar es Salaam. Baba wa ‘Mo’ Gullam Dewji amethibitisha uwepo wa mkutano huo na waandishi wa habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi. https://twitter.com/MeTL_Group/status/1051740103196987392

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube