Thursday , 25 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Dk. Tulia: Rais Magufuli kalirahisishia  kazi Bunge
Habari za Siasa

Dk. Tulia: Rais Magufuli kalirahisishia  kazi Bunge

Spread the love

NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema Rais John Magufuli ameirahisishia kazi Ofisi ya Bunge katika utekelezaji wa majukumu yake, kutokana na hatua yake ya kuhamisha ofisi za serikali kuu jijini Dodoma. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea).

Dk. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 13 Aprili 2019 jijini Dodoma katika hafla ya uzinduzi wa mji wakiserikali ulioko Mitumba jijini humo.

Amesema kwa sasa bunge halipati shida katika kutafuta watendaji wa serikali kuu, ikiwemo mawaziri, kwa kuwa ofisi zao ziko katika mkoa mmoja na ofisi za bunge, tofauti na ilivyokuwa awali kwamba ofisi nyingi za serikali kuu zilikuwa ziko jijini Dar es Salaam.

 “Leo hii mmetusaidia sana kama bunge ninyi kuhamia Dodoma mmetusaidia kazi, unashuhudia idadi ya wabunge ni wengi sana na wengi waliokuwepo hapa ni wale wanaosema ndio, waliosema ndio kwenye azimio la Dodoma kuwa makao kuu na kupitisha bajeti,” amesema na kuongeza Dk. Tulia.

“Tunasema umeturahisishia kazi sababu, sasa mambo yote yanafanyika Dodoma, kiongozi yeyote atakayehitajika anapatikana Dodoma, tunakushuru kwa maamuzi haya mazito na sisi tutaendelea kufanya kazi nawe, na wabunge wa chama cha mapinduzi wataendelea kusema ndio kwenye mipango madhubuti ya serikali ya awamu ya tano.”

Mkuuu wamajeshi ejenrali venance mabeyo- nichukue nafasi hii kwa kupata muda wa kuzindua au kusimika rasmi na kukabidhi makazi kwanza ya watendaji w aikulu pia watendaji wa serikali Dk. Tulia sisi leo hapa nizungumze kw aniaba ya spika tunawshukuru sana sababu huu mji siku zote ulikuwa unajulikana ni makao ya nchi lakini

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

Spread the love  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

Spread the love  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Spread the loveKampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

Spread the loveJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata...

error: Content is protected !!