Dk. Hussein Mwinyi, mshindi wa Urais Zanzibar akionesha hati ya ushindi

Dk. Mwinyi ashinda urais Zanzibar

Spread the love

TUME  ya Uchaguz Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa visiwa hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea).

Dk. Mwinyi ametangazwa leo Alhamisi tarehe 29 Oktoba 2020 na Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid Mahmoud Hamid.

Amesema, Dk. Mwinyi amepata kura 380,402 sawa na asilimia 76.27 ya kura zote 382,402.

Jaji Hamid amesema, Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT-Wazalendo amepata kura  99,103 sawa na asilimia 19.87.

TUME  ya Uchaguz Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa visiwa hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ... (endelea). Dk. Mwinyi ametangazwa leo Alhamisi tarehe 29 Oktoba 2020 na Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid Mahmoud Hamid. Amesema, Dk. Mwinyi amepata kura 380,402 sawa na asilimia 76.27 ya kura zote 382,402. Jaji Hamid amesema, Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT-Wazalendo amepata kura  99,103 sawa na asilimia 19.87.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!