Demo Blog With Map

Baraza Kuu Chadema: Ni Lissu, Nyalandu

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanyika leo Jumatatu tarehe 3 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kikao hicho, kinafanyika ukumbi wa Mlimani ...

Read More »

Maalim Seif: Safari hii tunakaba kote

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, hakitaruhusu sehemu yoyote Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Zitto amteua Membe kuwa mshauri mkuu ACT-Wazalendo

BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepewa cheo cha ‘mshauri wa chama’ hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Kabla ya Membe, cheo hicho kilikuwa cha ...

Read More »

Urais Chadema: Kesi za Lissu si hoja

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeeleza kwamba hakitakwama kumpitisha Tundu Lissu kwa sababu ya kuhofia kesi zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Na kwamba, iwapo kura ...

Read More »

Magufuli awapokea mabalozi wa Marekani, Vietnam

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepokea hati za utambulisho za mabalozi wawili walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waliowasilisha hati hizo Ikulu ...

Read More »

ACT-Wazalendo yanza kupitia ‘mafaili’ ya watia nia

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeketi leo tarehe 2 Agosti 2020 ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Mkutano Mkuu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Wakati wa ufunguzi wa kikao ...

Read More »

Lissu kupenya Urais Chadema?

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio jina linalokita kwenye vichwa vya wengi kuhusu kupitishwa kwake kuwania urais wa Tanzania Bara. Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »

FIFA: Ya Sepp Blatter yamkuta Infantino

TUHUMA za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limechepua tena na sasa Gianni Infantino, rais wa shirika hilo amefunguliwa jalada la uchunguzi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Infantino anatuhumiwa ...

Read More »

Ngoma bado mbichi CCM

KAULI ya Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba ‘wateule hawajapatikana,’ inaumiza vichwa waliopitishwa kwenye kura za maoni. Anaripoti ...

Read More »

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1 dhidi ya Chelsea. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea) ...

Read More »

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Mabingwa wa kihistoria, Timu ...

Read More »

Waziri Ummy atoa darasa la unyonyeshaji watoto

ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni sababu kubwa ya utapiamlo kwa watoto. Anaripoti ...

Read More »

Nondo: Mahakama iwape dhamana viongozi Bavicha

NGOME ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo kimelaani viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), kunyimwa dhamana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Samia afungua maonyesho ya nanenane, atoa maagizo nchi nzima

SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wizara, taasisi za umma na binafsi kutumia maonesho ya kilimo ‘Nanenane’ kama jukwaa la wakutanisha wadau wake, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili. Anaripoti ...

Read More »

727 wakutwa na corona Kenya, vifo vyafikia 364

SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kenya imekuwa na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29 huku vituo vya kupigakura vitakuwa 80,155. Anaripoti ...

Read More »

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda Sumbawanga Mkoa wa Rukwa kucheza fainali hiyo ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yatoa vifaa vya uchaguzi Dodoma

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeanza kugawa vifaa vya uchaguzi kama bendera, katiba na kadi kwa wagombea wake wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Saa 72 za moto Chadema

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ...

Read More »

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili na Ligi Kuu ya wanawake kwa kipindi ...

Read More »

Tanzania yapiga ‘stop’ ndege za Kenya

SERIKALI ya Tanzania imezuia ndege za Shirikla la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini humo kuanzia leo Jumamamosi tarehe 1 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Neema kwa wagonjwa wa saratani KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC Mkoa wa Kilimanjaro, imeanza mchakato wa ujenzi wa hosteli za wagonjwa wa saratani wenye kipato cha chini ili kuwapunguzia adha ya usafiri kutokana na baadhi ...

Read More »

Majaliwa akerwa shule za Kiislamu kuungua moto

TUME ya kuchunguza matukio ya majengo ya Shule za Msingi na Semondaei za Kislamu kuungua kwa moto jijini Dar es Salaam inakamilisha taarifa yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam. ...

Read More »

30 kuwania mchezaji bora VPL, Simba yaongoza

KAMATI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20, imetoa orodha ya majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa ligi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Mufti Wa Tanzania awapa neno Waislamu

ABOUBAKAR Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania, amewaonya watu wanaopanga kufanya vurugu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Mufti Zubeir amesema hakuna ...

Read More »

Rais Magufuli ateua DC Rufiji

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Tarifa iliyotolewa jana Alhamisi tarehe 30 ...

Read More »

Viti maalum UVCCM: Agness aibuka mshindi, DC awapa neno

AGNESS Mchau (30), ameibuka mshindi kura za maoni ubunge wa viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kupata kura 24 kati ya ...

Read More »

Watuhumiwa watatu ujambazi wauawa Dar

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi eneo la Chamazi, waliokuwa kwenye gari aina ya Nissan X Trail lenye namba za usajili T ...

Read More »

Shahidi aeleza Diwani CCM alivyopokea rushwa, alivyonaswa

SHAHIDI wa kwanza Yusufu Shaban Omar Matimbwa katika kesi inayomkabili Diwani wa Kijichi, Mbagala jijini Dar es Salaam Elias Mtarawanje (29), anayedaiwa kupokea rushwa, ameeleza namna Polisi walivyoweka mtego na ...

Read More »

Mwanafunzi ‘atumia fursa’ mbele ya JPM

REHEMA Mikidani Ngenje, Mwanafunzi wa Darasa la Nne Shule ya Msingi Somanga, Lindi amemweleza Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, shule yao ilivyo mbovu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Somanga, Lindi … (endelea). ...

Read More »

Lissu aitwa mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhudhuria mahakamani hapo tarehe 26 Agosti 2020 shauri lake ...

Read More »

ZEC: Uchaguzi mkuu Z’bar Oktoba 27 na 28

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa urais na uwakilishi utafanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Hayo yamesemwa na Mwenyekiti ...

Read More »

Wajumbe UVCCM wapokonywa simu mkutanoni

WAJUMBE wa Baraza la Vijana la Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Dodoma, wamepokonywa simu zao za mkononi, wakati wa mkutano wa kura za maoni kutafuta mgombea ubunge viti maalum kundi ...

Read More »

Milioni 10 wapona corona duniani 

WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi leo Alhamisi 30 Julai 2020 unaonyesha, walioambukizwa ...

Read More »

India vs China: India yaongeza ndege za kivita

WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu. Inaripoti mitandao ya ...

Read More »

Ubunge Viti maalum: Wajumbe UVCCM kazini leo

WAJUMBE wa Mabaraza ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa mikoa nchini Tanzania, leo Alhamisi tarehe 30 Julai 2020, watapiga kura za maoni za ubunge wa viti maalum katika ...

Read More »

Mkapa ahitimisha safari ya siku 29,845 duniani

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, amehitimisha safari yake ya siku 29,845 hapa duniani. Anaripoti Hamisi Mguta, Lupaso, Masasi … (endelea) Safari yake imehitimishwa leo ...

Read More »

Rais Magufuli: Mkapa aligoma kuzikwa Dodoma 

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema Hayati Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, alikataa kuzikwa katika eneo la makaburi ya viongozi wa Serikali lililopo ...

Read More »

Mwinyi amwombea msamaha Mkapa

ALI Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, amemwomba Mwenyezi Mungu kumsamehe Hayati Benjamin William Mkapa pale alipoteleza wakati wa uhai wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Lupaso…(endelea). Akizungumza ...

Read More »

Kikwete aeleza walivyotoana jasho na Mkapa mwaka 1995

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameeleza jinsi alivyomtoa jasho Hayati Benjamin William Mkapa, katika mchujo wa mgombea Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha ...

Read More »

Mwijaku kizimbani tuhuma za kusambaza picha za ngono

MSANII wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kusambaza picha za ngon kinyume cha sheria. Anaripoti ...

Read More »

Bunge la Uturuki lapitisha sheria tata

BUNGE la Uturuki limepitisha sheria tata, ambayo inaipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kuingilia maudhui kwenye mitandao ya kijamii na hata kulazimisha kuondolewa. Shirika la Habari la Aljazeera linaripoti…(endelea). ...

Read More »

#LIVE: Rais Magufuli awasili Lupaso kumzika Mkapa

Dk. Shein afikisha salamu za Wazanzibari kwa Mkapa Saa 7:46 mchana DAKTARI Ali Mohammed Shein, Rais wa Serikali ya Zanzibar amemtaja Hayati Benjamin Mkapa kwamba aliyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar. Akitoa ...

Read More »

Shibuda apitishwa kugombea urais Tanzania

KATIBU Mkuu wa Chama cha ADA-Tadea, John Shibuda amepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho, kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya viongozi, wanachama 26 Chadema yakwama

KESI ya viongozi na wafuasi 26 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaokabiliwa na mashtaka saba yakiwamo kutoa lugha ya maudhi na kuharibu gari ya Magereza, imeshindwa kuendelea na ...

Read More »

Rais Magufuli atua Mtwara, mwili wa Mkapa wawasili Lupaso

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kushiriki shughuli ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa. ...

Read More »

Mwili wa Mkapa watua salama Masasi

HELKOPTA iliyobeba mwili wa Hayati Rais mstaafu awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa imetua salama katika uwanja wa ndege mdogo wa Masasi mkoani Mtwara. Anaripoti Mwandishi W etu, ...

Read More »

Zitto, Maalim Seif na Membe walivyozungumzia ujio wa Lissu

VIGOGO wa siasa za upinzani nchini Tanzania , Maalim Seif Sharif Hamad, Zitto Kabwe na Bernard Membe wamemkaribisha nchini humo kwa maneno ya faraja Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama ...

Read More »

Uwanja wa Taifa sasa kuitwa, Uwanja wa Mkapa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, amebadili jina la uliokuwa Uwanja wa Taifa na sasa kuwa unaitwa Uwanja wa Mkapa katika kumuenzi Hayati Mkapa kwenye mchango ...

Read More »
error: Content is protected !!