Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai – MwanaHALISI Online
e3e113aa2d538b825a61790110a4b6a8

Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati (UAE). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Janeth amekamatwa na malioni hayo ya shilingi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai International Airport, jana Ijumaa, tarehe 21 Septemba 2018.

Taarifa kutoka nchini humo, zinawanukuu maofisa wa usalama katika uwanja huo wakisema, “Janeth amekamatwa na kiasi cha dola za Marekani 3 milioni (takribani Sh. 7.3 bilioni), zikiwa amezihifadhi kwenye begi.

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati (UAE). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Janeth amekamatwa na malioni hayo ya shilingi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai International Airport, jana Ijumaa, tarehe 21 Septemba 2018. Taarifa kutoka nchini humo, zinawanukuu maofisa wa usalama katika uwanja huo wakisema, “Janeth amekamatwa na kiasi cha dola za Marekani 3 milioni (takribani Sh. 7.3 bilioni), zikiwa amezihifadhi kwenye begi.

Review Overview

User Rating: 2.25 ( 1 votes)
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube