Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

Wagombea ubunge 200 Chadema hawa hapa

Spread the love

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya pili ya walioteuliwa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)

Orodha hiyo ya majina 37 ya ubunge wa Tanzania Bara, yametolewa leo Jumatano tarehe 12 Oktoba 2020 ikiwa ni siku nne zimepita tangu orodha ya kwanza ya majina 163 ilipotoka.

Kwa maana hiyo, Chadema imekwisha teua wagombea 200 kwa awamu ya kwanza na ya pili.

Jumla ya majimbo ya uchaguzi ni 264. Tanzania Bara ina majimbo 214 na Zanzibar 50.

Hii ina maana kwamba, Chadema bado haijateua wagombea 64 mpaka sasa.

Tayari shughuli ya uchukuaji wa fomu za kugombea udiwani na ubunge imeanza leo Jumatano na itahitishwa tarehe 25 Agosti 2020.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya pili ya walioteuliwa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ... (endelea) Orodha hiyo ya majina 37 ya ubunge wa Tanzania Bara, yametolewa leo Jumatano tarehe 12 Oktoba 2020 ikiwa ni siku nne zimepita tangu orodha ya kwanza ya majina 163 ilipotoka. Kwa maana hiyo, Chadema imekwisha teua wagombea 200 kwa awamu ya kwanza na ya pili. Jumla ya majimbo ya uchaguzi ni 264. Tanzania Bara ina majimbo 214 na Zanzibar 50. Hii ina maana kwamba, Chadema bado haijateua wagombea…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!