
Dk. Hussein Mwinyi, Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepitisha majina matatu yatakayopigiwa kura na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ili kumpata mgombea mmoja wa Urais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).
Majina hayo ni;
1. Dk. Khalid Salum Muhamed
2. Dk. Hussein Mwinyi
3. Shamsi Vuai Nahodha


Awali, majina matano yalipokelewa na kikao cha Kamati Kuu na kujadiliwa na kupatikana matatu;
1. Dk. Hussein Mwinyi
2. Profesa Makama Mbarawa
3. Shamsi Vuai Nahodha
4. Dk. Khalid Salum Muhamed
5. Khamis Mussa Omar
Endelea kufuatilia MwanaHALISI Online kwa habari zaidi
More Stories
Mbatia: Katiba mpya ni lazima, hatutapiga magoti
Utumbuaji sasa wapiga hodi kwa vikosi vya SMZ
Mhagama ataka ripoti mabaraza ya kazi