Ripoti

Ripoti Maalum

Rais Magufuli: Mtoto akipata mimba asirudi shule

RAIS John Magufuli amepiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shuleni, kurejea na kuendelea na masomo baada ya kujifungua, anaandika Saed Kubenea. Akihutubia mamia ya wananchi katika mji wa ...

Read More »

Simanzi mazishi ya Shaban Dede

HAKIKA ni simanzi na majonzi ndivyo vimetawala kwa wadau wa mziki wa dansi Tanzania kufuatia kifo cha Shaban Dede, Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi huku mamia wakiwa wamejitokeza katika ...

Read More »

Upasuaji wa sehemu za siri za kike waongezeka

NI jambo la kawaida kufanya marekebisho ya kitabibu katika viungo vya mwili wa binadamu kama vile  makalio, nyonga, ngozi na sura. Hata hivyo, hivi karibuni, huko Uingreza, kumekuwa na urekebishaji wa ...

Read More »

Tunalidharau tatizo tunalolijua

NI mshangao zaidi waliokuwanao kuliko walivyo na tabasamu na uchangamfu. Wananchi walichangamka lilipoanza gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama na pale iliposomwa hotuba ya rais, anaandika Jabir Idrisa. Wananchi ...

Read More »

Ewe Machali nani aliyekuroga?

NANI aliyemroga Moses Joseph Machali, mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), aliyeongoza jimbo hilo kipindi kimoja cha 2010-2015?, anaandika Shabani Matutu. Hili ni swali la kwanza kunijia baada ya ...

Read More »

Kiganja anafichua kilichofichika

UNAIKUMBUKA habari iliyoandikwa na gazeti hili katika toleo Na. 361 la Oktoba 17-23, 2016, iliyokwenda kwa maneno ‘Rais Magufuli ashtukia dili.’ Kama haukubahatika kuisoma itafute isome zaidi ya mara moja, ...

Read More »

‘Utembo’ wa rais umekuzwa na CCM

NIMEGUSWA na kauli za wazee watatu, wanasiasa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Joseph Butiku, Phillip Mangula, na Wilson Mukama – walipotoa mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya ...

Read More »

Magufuli ashitukia dili

UAMUZI wa serikali kuzuia uuzaji au ukodishwaji wa klabu za Simba na Yanga kwa matajiri wawili maarufu nchini, umelinda maslahi ya nchi na kuepusha nchi kutotawalika, imefahamika, anaandika Mwandishi Wetu. Mchambuzi ...

Read More »

Magufuli atamuweza Lowassa mahakamani?

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji wa safu hii kutokana na uchambuzi wa wiki iliyopita, uliofananisha wongofu wa ghafla wa Sauli na mabadiliko ya ghafla ya Lowassa. Miongoni mwa watu 206 ...

Read More »

Sukari imetusahaulisha Lugumi?

SAKATA la kukosekana sukari limeshika kasi nchini.Tatizo la kukosekana sukari lilianza baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi kwa kile alichosema ni kulinda ...

Read More »

Majipu yataondoka na CCM

WIKI iliyopita, Rais John Magufuli aliitisha mkutano wa ghafla kukutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mikoa na wilaya zote nchini, anaandika Ansbert Ngurumo. Mwaliko huo ulikuwa ...

Read More »

Mwigamba ampisha Zitto

ALIYEKUWA katibu mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Samson Mwigamba, hatimaye amefika safari yake. Ameng’olewa katika “kiti chake cha utukufu,” anaandika Pendo Omary. Anna Mghwira, mwenyekiti wa chama hicho taifa, ...

Read More »

Zanzibar ni kupe katika Muungano?

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefuta Sherehe za Maadhimisho ya Muungano. Ameagiza wananchi waadhimishe sherehe hizo wakiwa majumbani au katika shughuli zao binafsi, anaandika Saed Kubenea. Sherehe za ...

Read More »

Wanaomkosoa Magufuli ni wazalendo wafia nchi

RAIS John Magufuli ana staili yake ya uongozi – kwa kauli na vitendo – lakini inaaza kumfanya aonekane “dikteta mtarajiwa,” anaandika Ansbert Ngurumo. Baadhi ya wananchi waliokuwa wamekata tamaa, waliochoshwa ...

Read More »

Dk. Shein amechagua kuishi kwa kitanzi

DK. Ali Mohamed Shein ametamba kuwa anafuta Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwa kuwa wananchi wa Zanzibar waliikataa. Ukweli ni kwamba Wazanzibari walimkataa yeye, anaandika Mwandishi Wetu. Chama Cha ...

Read More »

Magufuli usiumbe maneno kwa moyo

NINA orodha ndefu ya kauli za Rais John Magufuli, hasa zilizo tata. Zile zinazozua mjadala katika jamii, anaandika Ansbert Ngurumo. Kama alivyokiri mwenyewe wiki kadhaa zilizopita mbele ya viongozi wenzake ...

Read More »

Maalim Seif: Namhurumia Dk. Shein

TAREHE 20 Machi 2016, kulifanyika uchaguzi wa marudio wenye utata katika visiwa vya Zanzibar, ambao ulisuswa na chama kikuu cha upinzani visiwani humo, Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar (CUF). Aliyetangazwa ...

Read More »

Mgogoro wa Zanzibar, kumuumbua Kikwete?

HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio” Visiwani uliofanyika 20 ...

Read More »

Namuona Kikwete ndani ya Magufuli

PIGA picha. Vuta hisia na kumbukumbu. Unakumbuka nini katika wakati kama huu, miaka 10 iliyopita? Mimi nakumbuka machache, yaliyotangulia na yaliyofuata baadaye. Nyakati zinashindana na kupingana; lakini zinafanana, anaandika Ansbert Ngurumo. ...

Read More »

Ya mwaka 1970 bora yajirudie

MARA baada ya kupatikana kwa Uhuru wa (Tanganyika) Tanzania Bara mwaka 1961, ilipofika mwaka 1970 serikali iliutangaza mwaka huo kuwa ni wa Elimu ya Watu Wazima, anaandika Michael Sarungi. Tangazo ...

Read More »

Ni lini mifugo itakuwa na thamani?

MOJAWAPO ya hatari inayoinyemelea Tanzania ni migogoro kati ya wakulima na wakulima wafugaji inayoendelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anaandika Michael Sarungi. Tanzania inashika nafasi ya pili kwa kuwa na ...

Read More »

TGNP: Jamii ishiriki kudhibiti ukeketaji

IKIWA imebaki siku moja kufikikia siku ya maadhimisho ya kupinga ukeketaji duniani (6 Februari 2016), mwakilishi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Grace Kisetu ameeleza kuwa, lengo la kuadhimisha siku ...

Read More »

Mbunge Bashungwa aanza kazi Karagwe

INNOCENT Lugha Bashungwa (37), aliyeshinda ubunge katika Jimbo la Uchaguzi la Karagwe, Mkoani Kagera, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hatimaye amekula kiapo cha ubunge mjini Dodoma, mnamo 17 ...

Read More »

Mbunge Anatropia wa Segerea afunguka

MBUNGE wa Viti Maluum (Chadema), kupitia mkoa wa kichama wa Ilala, Anatropia Theonest, amefunguka na kuliambia gazeti la mwanahalisionline kwamba yeye ni ‘jembe’ la uhakika ndani na nje ya Chadema, ...

Read More »

Serikali awamu ya tano itekeleze haya – Wanawake

KWA kuwa wanawake wanapenda uhuru na hawapendi kukandamizwa, ni lazima wapigane bila kupumzika mpaka madai yao yatakapotekelezwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hapa ndipo mkazo unawekwa na wanawake walio kwenye ...

Read More »

NEC msipuuze malalamiko haya, yapate majibu ya kina

ZIKIWA zimebaki siku chache kuingia katika jambo ambalo linasubiriwa watanzania wengi na mataifa ya nje la kupiga kura katika uchaguzi mkuu kumeibuka malalamiko mbalimbali. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Mtayachota kwa vidole vyenu

WA Kilindi juu. Mkampangia madumu Dadaangu wa Muyuni, anoizunguka nchi akimuombea ulaji mtaka mabadiliko kimtindo, Mapediloki. Eti nini, Magufuli si Ukawa? Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Sijawahi kusikia wao wakisema ...

Read More »

Wanafahamiana tena wamoja

RAISI anajidhalilisha kwa kukithiri mizaha. Anajisahau akidhania Saigoni – kijiwe cha maalwatan wa Da’Salama, wehu kwa utani wa Simba na Yanga. Alikuwa maarufu miaka ile ya 1980. Niliwahi kumsikia akisema ...

Read More »

Hii Tume inanishangaza

NAUVAA ujasiri. Nilipokuwa nabashiri kabla ya kuchagua, watakuwepo watu laki wanadai haki kortini ya kuchagua, nilikuwa nahimiza ufanisi wa kazi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Zilikuwepo dalili nyingi kazi ingefujika. ...

Read More »

Prof. Baregu: Chadema tuko wamoja

PROF. Mwesiga Baregu amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kingali kimoja na sasa imara zaidi. Mjumbe huyo wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema alikuwa akizungumzia mjadala mkali ndani ya ...

Read More »

CCM waache ‘shingo feni’

WAKATI najiandaa kuandika makala hii, waziri mkuu wa kwanza katika awamu ya nne, Edward Ngoyai Lowasa, ametangaza kukihama chama chake cha CCM na kujiunga na Chadema kilichoko katika muungano wa ...

Read More »

Ujio wa Lowassa Chadema: Maswali mengi yatapata majibu

MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). ...

Read More »

Zitto apigwa stop UKAWA

ZITTO Kabwe, kiongozi mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepata mapigo mawili kwa mpigo ndani ya kipindi cha wiki moja. Kwanza, chama chake kimezuiwa kujiunga na Jumuiko la vyama vinne vinavyounda ...

Read More »

Urasimu unavyokwamisha biashara ya magogo

SHERIA kandamizi na urasimu katika nchi yoyote huwa kikwazo dhidi ya ukuaji wa uchumi kwa sababu mazingira hayo husababisha biashara halali kufanywa katika mazingira haramu, nje ya mfumo rasmi wa ...

Read More »

Kwa Nyalandu, tembo watatoroka nchi

LAZARO Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii, anakwepa kupambana na majangili mwituni. Badala yake, kutwa kucha kiguu na njia kwenye vyombo vya habari kupiga porojo na ‘kuuza sura’. Anaandika Yusuph Katimba ...

Read More »

Ukarimu wa watanzania utawagharimu

NAKUMBUKA  ile hadithi ya watoto wa simba na watoto wa swala  walivyokutana kwenye bonde la pori na kucheza pamoja  na kufurahiana bila kujuana jua lilipozama kila wakaelekea makwao na kuwakuta ...

Read More »

Unafki wa Prof. Kitila huu hapa

NIMESOMA makala ya Dk. Kitila Mkumbo, iliyobandikwa kwenye mitandao ya kijamii inayosema, “CCM kinaimarika, Chadema kinasinyaa na CUF kinakufa.” Kwa maoni ya Dk. Kitila, pamoja na Chadema kukubalika mbele ya ...

Read More »

Nyaronyo umetoka wapi na Lowassa?

NIMESOMA makala mbili mfululizo za Nyaronyo Mwita Kicheere, zinazomjadili Edward Ngoyai Lowasssa, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa kufua umeme wa Richmond. Makala hizi zimeandikwa kwa dhana ...

Read More »

Taa ya habari haipaswi kuzimika

TASNIA ya habari ni taa ya umma inayomulika na kuangaza kwenye giza na kuonyesha wazi yaliyojiri humo pamoja na kufichua maovu kwa faida na maslahi ya umma. Taa hii muhimu ...

Read More »

Jeshi hili la polisi livunjwe

JANUARI mwaka huu, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri, walipendekeza kwa serikali jeshi la Polisi livunjwe na kuundwa upya. Niliyapenda maoni haya, ijapokuwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

Tunawasubiri waliochota kutoka Stanbic

MJADALA juu ya ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 321 bilioni, kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu (BoT), ungali mbichi. Aliyetegemewa kufunga mjadala huu, kwa kushughulikia wezi halisi ...

Read More »

Waraka wa Dk. Chami umesheheni upotoshaji

MBUNGE wa Moshi Vijijini (CCM), ametoa andishi alilolituma kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), akilalamikia madhehebu ya Kikristo kukosoa uendeshaji wa Bunge Maalum la Katiba. Waraka wa ...

Read More »

Benjamin Mkapa: Tujadili sifa, tusijadili mtu

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, amejitosa katika kinyang’anyiro cha urais cha mwaka kesho. Amewekeza kwa waziri mkuu Mizengo Pinda. Akizungumza katika harambee ya kuchangia fedha za mradi wa kusaidia maboresho ya ...

Read More »

Mbio za urais 2015: Nani maarufu kuliko chama?

Kamati Kuu ya CCM

VITA vya kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), vimezidi kupamba moto. Tayari wanaotajwa kuwa “rais watarajiwa,” wameunda mitandao ya kumchafua yule na kumjenga huyu.” Wengine wametembelea baadhi ya ...

Read More »

Hawakatai katiba CCM, ukweli hawataki mabadiliko

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda

KILA nikitafakari matamshi yanayotolewa na wakubwa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) ninapata picha moja tu iliyo kubwa: hawataki katiba mpya kwa mwelekeo ulioletwa. Mwelekeo ulioletwa katika kuendeleza utaratibu wa kuipatia ...

Read More »

Huu ni ushauri wangu kwa meya Silaa

Meya Jerry Silaa

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, ameshindwa kuendesha manispaa hiyo iliyoko jijini Dar es Salaam. Je, ataweza ubunge alioonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu mwaka ujao? Tusubiri. Vyovyote ...

Read More »

Ikulu imempa Tendwa kazi siyo yake

John Tendwa

Jina la John Tendwa, aliyekuwa msajili wa Vyama vya Siasa nchini, limeibuka tena upya, likiwa limesheheni porojo. Tendwa ametaka mjadala juu ya rasimu ya katiba mpya usitishwe. Amekwenda mbali kwa ...

Read More »
error: Content is protected !!