Friday , 29 March 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Afya

Hospitali binafsi zamwomba Rais Samia asitishe bei mpya ya matibabu

WAMILIKI wa hospitali binafsi nchini wametishia kugomea kutibu wagonjwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), iwapo bei mpya zilizotangazwa na...

Biashara

Sakura Wind mchezo wa kasino wenye siri kubwa ya ushindi

SAKURA Wind ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yaMERIDIANBET yenye nguzo tano zilizoandaliwa katikasafu tatu na mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, unahitajikupata...

Habari za SiasaKimataifa

Askofu Mkuu: Uchaguzi DRC umekuwa wa machafuko

Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...

Michezo

Biteko ashiriki Rombo marathon, apongeza ubunifu

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Jumamosi ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilomita...

Michezo

Kivumbi na jasho wikiendi hii pale Anfield

  JUMAMOSI hii utapigwa mchezo mkali sana katika ligi kuu ya Uingereza ambapo utashuhudia vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal...

Afya

Wananchi walia ujenzi kituo cha afya kukwama kwa miaka 8

Wananchi wa kijiji cha Songambele kilichopo kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani humo, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Ileza ambacho...

Biashara

Cheza sloti na Meridianbet ujishindie Samsung A32

KIPINDI hiki cha sikukuu kampuni bingwa ya michezo yakubashiri ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambeambayo itatatoa ofa kwa washindi watakaocheza michezo yaKasino mitandaoni. Anaripoti...

Biashara

Aviator mchezo wa kasino unaotoa beti za bure kila siku

ILIKUWA ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutokafamilia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaakwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali yaufukara...

Biashara

NMB yawazawadia washindi 100 waliobahatika droo ya 7 ya MastaBata

BENKI ya NMB imetangaza washindi 100 waliobahatika katika droo ya 7 ya kampeni yake ya MastaBata Halipoi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana...

Michezo

Simba gari limewaka Ligi ya Mabingwa Afrika

KUNA msemo waswahili wanasema baada ya dhiki faraja nahichi ndicho kinaonekana kwa klabu ya Simba kwasasa, Kwani walipitia kipindi kigumu lakini wameonekanakuanza kurejea...

Michezo

Yanga yaandika rekodi mpya CAFCL

MARA ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushindamchezo wowote kwenye kundi lake...

Biashara

Vodacom waendesha mafunzo ya Tehama na Sayansi kwa wanafunzi wa kike

Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi...

Biashara

Tanzania mwenyeji wa mkutano wa tano wa kimataifa wa Tanzania Energy Cooperation Summit 2024

WAWEKEZAJI  kutoka sekta mbalimbali, fedha na serikali zitakutana kuonyesha uwezo ilionao Tanzania. Uwezo ambao unaonyeshwa na nchi ambayo kwa sasa imeorodheshwa kuwa ya...

Biashara

Watakaolipa kwa M-Pesa Lake Energies kupata punguzo la bei

  WATEJA wa Kampuni ya Vodacom ambao watakaofanya manunuzi ya mafuta katika vituo vya mafuta vya Lake Energies kwa kutumia M-Pesa watapata punguzo...

Afya

Wafanyakazi NMB watoa mil. 11 matibabu ya watoto JKCI

WAFANYAKAZI wa Idara ya Wateja Wadogo na Biashara ya Benki ya NMB, wameikabidhi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es...

AfyaTangulizi

Fedha za TASAF zamaliza kero ya huduma ya mama na mtoto Njombe

  MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Kibena, iliyopo katika Halmashauri ya Njombe, Dk. Helena Msese amesema kabla ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...

Kimataifa

Wananchi DRC kuamua hatima yao leo

NCHI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), leo tarehe 20 Disemba 2023, inafanya uchaguzi wake mkuu huku vigogo watatu, Rais anayemaliza muda...

Kimataifa

Mahakama yamwekea kigingi Trump urais 2024

MBIO za aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuliongoza tena taifa hilo, zimeingia doa baada ya kuwekewa kipingamizi cha kugombea kwenye Uchaguzi Mkuu...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi lauwa watu 118 China

TETEMEKO la ardhi lililotokea nchini China maeneo ya Kaskazini-Magharibi, limesababisha vifo vya watu zaidi ya 100 na kujeruhi 397. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Afya

Haya ndio maboresho ya kitita cha mafao – NHIF

KATIKA kuboresha huduma za matibabu nchini na kuendana na bei halisi ya utoaji wa huduma hizo, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya...

Michezo

Mtanzania mwingine aogopwa Ukraine, akalia ubao miezi miwili

  NI miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen...

Biashara

Sloti ya Secret Book of Amun Ra maajabu ya kasino

  SECRET Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika ya taifa...

AfyaTangulizi

Wajawazito wadaiwa kujifungulia sakafuni, Serikali yatoa kauli

BAADHI ya akina mama wajawazito katika Kituo cha Afya cha Buzuruga, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wanadaiwa kujifungulia chini kwenye...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2024

Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza...

Michezo

Sir Jef Ratcliffe ampiga dongo Bruno kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool

TAREHE 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijanawa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu...

Michezo

Ni Liverpool dhidi ya Man United kwenye Super Sunday

JUMAPILI ya leo itakua ya kibabe sana kwani kutakua namichezo kadhaa ambayo inaweza kwenda kuhakikishaunapiga mkwanja wa kutosha, Lakini shughuli nzimaitasimamiwa na mchezo mkali...

Biashara

Infinix yawafikia wateja wa simu yao mpya na punguzo la bei

KWMPUNI ya simu za mkononi Infinix Tanzania inaendelezashangwe kwa wateja wake, Infinix ilianza kwa uzinduzi wapromosheni za Christmass mwanzoni mwa mwezi huu, hawajaishia...

Biashara

Meridianbet yamwaga msaada kwa madereva wa Bajaj

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbetimefanikiwa kutoa msaada kwa madereva Bajaji katikamaeneo mbalimbali jijini Dar-es-salaam ambapo wametoa maturubai ya kufunga kwenye Bajaji. Anaripoti...

Kimataifa

Mpinzani DRC atangaza kuungana na waasi wa M23

Kiongozi wa upinzani wa Congo anayeishi uhamishoni, Corneille Nangaa jana Ijumaa ametangaza kuunda kitengo cha kisiasa cha kijeshi kitakachokuwa mshirika wa kundi la...

Michezo

Wikiendi ya maokoto ndani ya Meridianbet

  WIKIENDI imefika na ni muda wa kufanya maokoto na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kwani itakwenda kupigwa michezo...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na toleo hili jipya la sloti

  MERIDIANBET kasino ya mtandaoni hatimaye tena tumekusogezea Sloti yenye hadithi ya nguruwe watatu na mbwa mwitu wanaotema Mamilioni kibao kwa mzunguko mmoja....

Biashara

Ukicheza sloti ya Winning Clover 5 Extreme kushinda Meridianbet ni rahisi

    WINNING Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi....

Afya

Manumba: Bilioni 4.7 zimebadili afya Kigoma DC

SERIKALI ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluh Hassan imetoa zaidi ya Sh bilioni 4.7 katika kuboresha huduma za afya halmashauri...

Afya

NMB yamwaga vifaa 750 vya kujifungulia Kigamboni

BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali 750 vya kujifungulia vyenye thamani ya Sh milioni 15.3 ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya...

Michezo

Usipitwe hii inapatikana Meridianbet pekee leo, ingia na ubeti

  MECHI za Europa zinaendelea leo hii kuanzia saa 2:45 usiku na saa 5:00 usiku hivyo kwa wewe mteja wa meridianbet ingia na...

Biashara

Unapocheza kasino Meridianbet leo unavuta mgao wa Tsh Bil 2

KAMA wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basimsimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, nilazima ufunge mwaka kwa mizawadi kibao na maokoto...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Ulaya kupigwa leo, maokoto nje nje Meridianbet

JUMATANO leo itapigwa michezo mbalimbali ya ligi yamabingwa barani ulaya ambayo itatoa nafasi kwa wateja waMeridianbet kujishindia mikwanja kutokana na michezohiyo ya kibabe. Anaripoti...

Biashara

NBC yazindua kampeni ya kumwaga zawadi msimu wa sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka  inayofahamika kama “Tabasamu Tukupe Mashavu,” ikilenga...

Kimataifa

Papa Francis ataka kuzikwa nje ya Vatican

Papa Francis ameamua kurahisisha taratibu za mazishi ya papa kwa kuwa wa kwanza kuzikwa nje ya Vatican katika zaidi ya karne moja. Inaripoti...

Michezo

Je, Manchester United itaweza kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya mabingwa Ulaya?

  ILE klabu yenye mashabiki wengi duniani Manchester United leo ama zao ama za Bayern kitaeleweka yani hapa ni Ten Hag afuzu au...

ElimuHabari za Siasa

Mwalimu mkuu aomba kuhamishwa kisa uchakavu wa shule

MKUU wa shule ya sekondari Udinde iliyopo kijiji na kata ya Udinde katika Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, Mwalimu Amani Kilagoa amemuomba...

Kimataifa

Urusi marufuku vigogo wenye siri za Serikali kusafiri nje

SERIKALI ya Urusi, imeweka zuio la muda kwa maafisa wake wa usalama na wale wenye siri nzito za taifa hilo, kusafiri nje ya...

Kimataifa

UN kupiga kura ya dharura kusitisha vita Israel, Palestina

BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), leo tarehe 12 Disemba 2023, linatarajia kupiga kura ya dharura kuitaka Israel na kundi la wanamgambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hati Fungani ya NMB jamii yaandika historia kwa kukusanya bilioni 400

Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii kukusanya Sh 400 bilioni ikiwa ni zaidi ya...

Biashara

Mkazi wa Moshi alamba mkwanja wa Serengeti Maokoto ndani ya Kizibo

Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries...

Biashara

Unataka ushinde kasino ya Meridianbet, cheza sloti ya Rhino Mania

  RHINO Mania ni mchezo wa sloti unaoletwa na mtoa huduma Platipus. Kuna aina mbalimbali za bonasi zinazokusubiri katika mchezo huu wa sloti...

Michezo

Vijana waadhimisha miaka 62 ya Uhuru kwa kushiriki michezo

UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) tawi la Mlowo, jana Jumapili wameadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kuendesha michezo mbalimbali ikiwemo...

Biashara

NMB kuwezesha wafanyabiashara kuchangamkia fursa soko la AfCFTA

BENKI ya NMB imetangaza dhamira yake ya kutoa masuluhisho thabiti ya kifedha kwa Wafanyabiashara Wakubwa, Kati na wa Wadogo (MSMEs) ili kuwawezesha kuchangamkia...

Elimu

Wananchi waomba msaada ukamilishaji ujenzi wa sekondari

WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji, wilayani Musoma Mkoa wa Mara, wamewaangukia wadau wakiwaomba wawasadie michango ya hali na mali ili wakamilishe ujenzi wa...

BurudikaHabari za Siasa

Samia amchangia Professa Jay mil. 50, Chadema, wasanii wamwaga manoti

RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni katika uzinduzi wa taasisi ya Professa Jay Foundation pamoja na kuahidi kumgharamia matibabu...

error: Content is protected !!