Categorizing posts based on content
Klabu ya soka ya Yanga Mabigwa wa Ligi ya NBC usiku wa jana 7 julai 2022 wameibuka vinara baada ya kutwaa tuzo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022RAIS wa zamani wa Fifa Sepp Blatter na makamu wa rais Michel Platini wote wamepatikana bila hatia kufuatia kesi yao ya ulaghai. Anaripoti...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amezitaka klabu nchini kuhakikisha wanamili viwanja vyao ili kukuza ustawi wa soka nchini, ambapo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022“Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022MAOFISA wa magereza nchini Nigeria wamesema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu juzi usiku tarehe 5 Julai, 2022 na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameendelea kusisitiza kuwa hatojiuzulu licha ya kuendelea kushinikizwa kufanya hivyo kutokana na kashfa mbalimbali zinazoiandama serikal...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimekubaliana kuanza mchakato wa kumaliza tofauati zao, baada ya mkutano wa marais wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WATU takribani 10,000 wameripotiwa kufariki dunia nchini Ukraine, tangu ilipovamiwa kijeshi na Urusi mwishoni wa Februari, 2022, ambapo Umoja wa Mataifa (UN)...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema dirisha la uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022TATIZO la ubakaji limetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa matatizo ya fistula kwa wasichana wenye umri mdogo. Anaripoti Jonas Mushi, Dar es...
By Jonas MushiJuly 5, 2022Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na uwepo wa vyumba vya faragha vya wajawazito kujifungulia wakiwa na wenza wao katika jengo...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022MPANGO wa kuboresha huduma ya afya ya uzazi mkoa wa Dar es Salaam, inayoratibiwa na Hospitali ya CCBRT, imesaidia kupunguza vifo vya...
By Jonas MushiJuly 5, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema fedha kiasi cha Sh. 4.5 bilioni, zilizotokana na tozo za miamala ya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Serikali ina mpango wa kuanza kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia, katika vituo vya afya vya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umedhibitiwa ndani ya miezi mitatu kutokana na “mwitikio wa haraka”...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022MABAO matatu aliyofunga kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga, yamemfanya mshmabuliaji kinda wa Coastal Union, Abdul Seleman Sopu, kuibuka kuwa kinara...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2022KOCHA Mkuu wa kikosi cha Coastal Union ya Tanga, Juma Mgunda amesema kwenye mchezo wa kesho wa fainali dhidi ya Yanga, hawatocheza...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2022ALIYEKUWA mgombea urais nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake Samuel Lubega Mukaaku wamepewa dhamana ya pesa taslimu ya Sh2.5 milioni...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MGOMBEA urais katika Uchaguzi mkuu wa Kenya na wakili msomi Profesa George Wajackoyah ameendelea kujinadi kwa ahadi zenye utata kwa Wakenya baada...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...
By Danson KaijageJune 30, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 30, 2022WATAALAMU wa Afya Nchini Tanzania, wameshauriliwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya taaluma yao kwa kutunza miundominu ya majengo...
By Danson KaijageJune 30, 2022WANAFUNZI wa shule ya msingi Peaceland English Medium iliyopo Ukerewe Jijini Mwanza wamesema kuwa kitendo cha serikali kupitisha elimu bure kuanzia shule...
By Danson KaijageJune 30, 2022TUME huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC), sasa ipo katika njia panda, kufuatia wagombeaji wawili wakuu wa urais katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara rasmi imeshuka daraja na kuungana na Mbaya Kwanza iliyokua ishashuka daraja tayari baada...
By Masalu ErastoJune 29, 2022KLABU ya Yanga, rasmi imeingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu iliyomaliza Ligi kuu Tanzania Bara, bila kupoteza mchezo wowote katika...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022MSHAMBULIAJI wa klabu ya Geita Gold, George Mpole ameibuka kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, akiwa na mabao 17, huku...
By Kelvin MwaipunguJune 29, 2022KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza” na ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...
By Masalu ErastoJune 29, 2022WASANII mbalimbali wa Tanzania hasa wa muziki na filamu wameahidiwa kufunguliwa milango zaidi katika soko na kiwanda kikubwa zaidi duniani cha burudani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022KLABU ya Simba siku ya jana ilimtambulisha Zoran Maki Manojlovi, raia wa Serbia kuwa kocha wao mkuu ambaye anakuja kurithi mikoba ya...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...
By Regina MkondeJune 28, 2022Klabu ya soka ya Yanga, hii leo tarehe 26 Juni 2022, ilisimamisha jiji la Dar es Salaam, kwa hafla yao ya kusherekea...
By Kelvin MwaipunguJune 26, 2022KLABU ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu, kufuatia kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukubali kichapo cha bao 1-0,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2022SERIKALI ya Tanzania, inajipanga kupitia upya miongozo ya kujiunga shule za sekondari na kidato cha tano na sita, ili kupunguza masuala yanayoongeza...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022MASHINDANO ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15 mwaka huu yakianzia...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2022MWANAMFALME wa Wales na Duchess wa Cornwall, wamewasili nchini Rwanda katika mji mkuu wa Kigali siku ya Jumanne usiku , kabla ya...
By Masalu ErastoJune 22, 2022MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua makamu wake Saulos Chilima mamlama yote aliyokabidhiwa, baada ya kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyohusisha kandarasi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MAMLAKA ya Mapato nchini Kenya (KRA), imesema kuwa itaanza kutumia kamera zitakazovaliwa na wafanyakazi wake ili kushughulikia tatizo la wizi wa ushuru...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MGAHAWA kutoka Hong Kong uliofanya kazi takribani miaka 50 , umezama siku chache baada ya kuvutwa kutoka bandarini. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoJune 21, 2022WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Elisabeth Borne amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron ambaye naye amepinga uamuzi huo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022HOSPITALI kuu ya umma kutoka nchini Kenya, imeripoti kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaoulizia nakujitolea kuuza figo zao....
By Masalu ErastoJune 21, 2022