Categorizing posts based on content
RIPOTI ya Jumuiya ya Kijajusi ya Marekani imebaini kuna uwezekano wa kuwepo wa hatari ya kuibuka mzozo wa kijeshi kati ya India na...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023HARAMBEE ya ujenzi na ukarabati wa shule za sekondari zilizoko katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, imeshika kasi baada ya Kampuni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023WAKATI Soka la wasichana likichipua kwa kasi Taasisi ya Karibu Tanzania Organization ‘KTO’ na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imezidi kuchagiza...
By Faki SosiMarch 7, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHULE ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam imezindua mfumo wa kupima na kugundua vipaji vya watoto kidigitali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023ROEL Degamo (56), Gavana wa jimbo la katikati mwa Ufilipino pamoja na watu wengine watano, wameuawa jana Jumamosi, tarahe 4 Machi, kwa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023VYOMBO vya habari vya kigeni nchini China vilipitishwa kwenye hali ngumu wakati taifa hilo linatekeleza sera yake ya kupambana na Uviko-19 ambapo inadaiwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2023MASHINDANO ya mpira wa miguu ya Kimwanga CUP ya kuwania ng’ombe yanazidi kutimua vumbi huku timu kadhaa zikiendelea kumenyana katika hatua ya makundi....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023MGOMBEA wa chama tawala Bola Ahmed Tinubu anaongoza uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali zaidi nchini Nigeria tangu nchi hiyo irejee kwa demokrasia...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023ELON Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa Bernard Arnault wa...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023MWENYEKITI wa Kamati teule ya Baraza la Wawakilishi la Marekani inayoangazia China, ametuma barua kwa Shirika la Upelelezi (FBI) akitaka majibu kuhusu madai...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ametoa wito kwa vijana wanaohitimu vyuo vikuu, wafanye shughuli nyingine za kujitafutia kipato...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 27, 2023WANARIADHA wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya kufanya vizuri katika mbio za Km 42...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023KAMISHNA wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi nchini, C.P Suzan Kaganda amewataka vijana hasa wasichana ambao ni wahitimu wa kidato...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni na taasisi amabzo zimetoa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimezindua klabu ya ujasiriamali kwa shule ya sekondari Temeke Wailes iliyoko Wilaya ya Temeke jijini Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2023VYUO vikuu bora kutoka nchi za India, Cyprus, Uingereza, Malaysia na Uturuki vimeleta wawakilishi wake nchini kwaajili ya kuonyesha shughuli zao kwa watanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023KIONGOZI mwandamizi klabu ya soka ya Simba ya Tanzania, Marco Masanja, aliyekuwa kifungoni nchini China, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2023MWAKILISHI wa Marekani, Ro Khanna ameongoza msafara wa wajumbe wa Bunge la nchi hiyo nchini Taiwan wikiendi hii kwa lengo la kuimarisha...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam na kwa kuanzia kimezindua...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MBUNGE wa Viti maalum Dodoma (CCM), Fatma Toufiq, ameahidi kushughulikia changamoto ambazo zinaikabili shule ya msingi maalum ya Buigiri iliyopo Chamwino mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuongeza vyumba vya madarasa katika shule za msingi ili...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MCHEKASHAJI maarufu kutoka nchini Kenya Eric Omondi ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo, kwa tuhuma za kuongoza kundi la vijana...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MWILI wa aliyewahi kuwa Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, huenda ukafukuliwa kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya DNA endapo Mahakama Kuu nchini humo itakubaliana...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023MKURUGENZI wa Shule za Feza Tanzania, Ibrahim Yunus amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kujiamini wanaposhiriki midahalo ya kitaifa na...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023TETEMEKO la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu jana tarehe 20 Februari 2023 na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023KUNDI la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, kuwa kiongozi wao baada...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2023RAIS wa Marekani Joe Biden amewasili Kyiv – ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipovamia karibu mwaka mmoja uliopita. Imeripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa shule nne zilizobainika kufanya...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023IMEELEZWA kuwa usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa baadhi ya halmshauri nchini unaotokana na...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023BAJETI ya India ya mwaka 2023 iliyosomwa tarehe 1 Februari ambayo imeelezwa kuwa itafungua dirisha la ushirikiano wa nchi mbili kati ya...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2023GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republikan....
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii....
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2023WANAFUNZI wa shule ya St Mary’s Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, wameibuka kidedea kwenye shindano la kujibu maswali mbalimbali yanayohusu kodi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2023RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘AKA’ ameuawa akiwa amesimama nje ya mgahawa mmoja huko Durban jana usiku. Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2023WAOKOAJI nchini Uturuki na Syria wameendelea na kazi ya kupekua vifusi kuwatafuta manusura au kuopoa miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na tetemeko...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2023PUTO la Kijajasusi la China liliorushwa kwenye anga ya Marekani limetajwa kuwa chanzo cha kuteteresha mahusiano ya nchini hizo mbili. Imeripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema jumla ya watu 12 wamekamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvujisha mtihani wa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i, anasakwa na Jeshi la Polisi nchini humo, huku sababu za hatua hiyo kutowekwa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023RAIA wa Pakistani waishio nchini Tanzania wameadhimisha siku ya Mshikamano wa Kashmir (Kashmir Solidarity Day) inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Februari huku wakiomba...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini ambayo ni nguzo muhimu ya...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023IDADI ya vifo vilivyotokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu wiki hii nchini Syria na Uturuki vimefikia 9,000. Inaripoti Mitandao ya Kijamii...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023Idadi ya vifo vilivyotokana na tetemeko lililotokea jana Jumatatu katika mpaka wa Syria na Uturuki, imeongezeka hadi kufikia zaidi ya 4,800 bada...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023WATU 300 wamefariki dunia katika tetemeko kubwa la ardhi lenye kipimo cha 7.8, lililotokea leo tarehe 6 Februari 2023, katika mpaka wa...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2023