Categorizing posts based on content
USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...
By Regina MkondeApril 4, 2023KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KAMALA Harris, makamu wa rais wa Marekani, amepanga kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi yeye na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023WAKATI Serikali na Benki ya Uswizi ikichukua hatua kali kwa kuzifungia akaunti za watu wa Urusi kutokana na operesheni zake za kijeshi...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023WAZIRI Mkuu wa nchini Israel, Benjamin Netanyahu amesema atachelewesha sehemu muhimu ya mipango yenye utata ya kurekebisha mfumo wa sheria ambao umefanya...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye...
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2023MSAFARA wa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga umepita katika eneo la Kawangware jijini Nairobi nchini Kenya na kupata fursa ya...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WIZARA ya mambo ya ndani ya Kenya inapendekeza mabadiliko ya sheria za usalama ambayo yatafanya iwe vigumu kwa watu kufanya maandamano. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023SERIKALI ya Kenya imedaiwa kuwaondoa walinzi wa washirika wa kinara wa muungano wa upinzani nchini humo unaofahamika kama ‘Azimio la Umoja’ wanaoshiriki maandamano...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris, amewasili hii jana tarehe 26 Machi 2023 mjini Accra nchini Ghana ambako amesema ana matumaini na...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WAKALA wa barabara Tanzania (TANROADS) imesema michezo inapaswa kuzingatiwa kwa watumishi kazini na hata jamii majumbani ili kuboresha Afya ya mwili kupambana...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023BARAZA la mawaziri la Rwanda limesema ofisi ya waziri mkuu imeamua kuoanisha tarehe za uchaguzi wa rais na wabunge nchini humo. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2023PAUL Rusesabagina, aliyewahi kuripotiwa kama ‘shujaa’ katika filamu ya Hollywood “Hotel Rwanda,” baadaye akahukumiwa kifungo cha miaka 25 gerezani na serikali ya...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2023RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amemteua aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa DR Congo kuwa waziri wa ulinzi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Amollo Odinga ametangaza kuwa muungano wa Azimio la Umoja (One Kenya), sasa utafanya maandamano makubwa mara mbili...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023KUVUNJIKA ushirhikiano wa China na Magharibi uliodumu kwa takribani kwa miaka 20 katika mkoa wa Bahari ya China Kusini, umechochea kupanda kwa matumizi...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023RAIS wa Kenya William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023Vladimir Putin amesema atajadili mpango wenye vipengele 12 wa Xi Jinping wa “kusuluhisha mgogoro mkubwa nchini Ukraine”, wakati wa ziara inayotarajiwa mjini...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023RAIS wa uchini Xi Jinping amewasili sasa nchini Urusi, na kulingana na Shirika la habari la Urusi TASS news , Xi Jinping...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MAANDAMANO ya kupinga serikali zilizoko madarakani nchini Kenya na Afrika Kusini, yameendelea kushika kasi katika mataifa hayo, huku baadhi ya walioandamana wakitiwa...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MFUKO wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetoa fedha kiasi cha Sh. 75.8 milioni, kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023WAKATI maandamano yaliyoitishwa na Chama cha upinzani Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters, yakiendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali , Ubalozi wa Tanzania nchini...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin. Vinaripoti Vyombo vya Habari...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023PUTO la kijasusi la China limetajwa kuwa halikuweza kusababisha tishio la usalama nchini Marekani badala yake limeweza kugundua udhaifu wa kijeshi Marekani...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023MTOTO wa kiume wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema akiwa kama kijana amechoka kusubiri na sasa atagombea kiti cha...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023Zaidi ya raia 2000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameingia nchini kuomba hifadhi ya ukimbizi kufuatia machafuko yanayoendelea katika mikoa ya...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza ari kubwa kwa...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha ujuzi wao sehemu za...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekosoa vikali hatua ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kuondoa usajili wa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023IDADI ya vifo vilivyotokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi na Msumbiji imeongezeka na kuzidi watu 200 baada ya dhoruba hiyo iliyovunja rekodi...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KIMBUNGA Freddy, kilichoambatana na upepo mkali na mvua kubwa, kimerejea kusini mwa Afrika na kuua watu takriban 100 katika nchi za Malawi...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023SERIKALI ya Marekani imesema ziara ya Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Kamala Harris kwa nchi za Afrika ikiwamo Tanzania, ni kujadili vipaumbele...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023Baraza Kuu la Chama cha Kikomunisti cha China limeidhinisha baraza jipya la mawaziri linaoundwa na marafiki wa karibu wa Rais Xi Jinping katika...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023RIPOTI ya Jumuiya ya Kijajusi ya Marekani imebaini kuna uwezekano wa kuwepo wa hatari ya kuibuka mzozo wa kijeshi kati ya India na...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023HARAMBEE ya ujenzi na ukarabati wa shule za sekondari zilizoko katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, imeshika kasi baada ya Kampuni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023WAKATI Soka la wasichana likichipua kwa kasi Taasisi ya Karibu Tanzania Organization ‘KTO’ na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imezidi kuchagiza...
By Faki SosiMarch 7, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHULE ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam imezindua mfumo wa kupima na kugundua vipaji vya watoto kidigitali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023